Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

wadau napendelea zaidi kutumia wap stlye kuliko desktop style nikingia jamii forum cha ajabu toka juzi niki select wap stlye muonekano unakuwa hivi-kama inavyoonekana hapo chini. setting kwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu.. Nmeapply google adsense... Wakaipitia property yangu...then kuna code nlipewa niiweke kwenye header tags ili waifanyie review website yangu... Nikafanya hivyo...Sasa nashangaa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sorry wakuu,nashindwa kuplay azam 2 tv,katika live streaming yao inazingua sijui kwanini,pia na ITV inanzingua kwa android app. waklati tayari nimeinstall vizuri tu lakini haitaki kuplay live.kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TV yangu aina ya LG nchi 42 LCD imepasuka kioo. Kwa yeyote anayemfahamu fundi mzuri wa flat screen TV naomba anielekeze anapopatikana. Au yeyote ambaye ana screen ya kufanya replacement...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Hivi hawa watu ni wa kuaminika? nimetaka kununua kitu kwao ila wanataka bank details moja kwa moja. Ushauri wenu wadau
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wana JF, leo nimeona ni share na nyie huu ugunduzi uliofanyika nchini japan, Kampuni moja ya huko japani imeweza kutengeneza simu yenye uwezo wa kuoshwa kwa sabuni na maji tena hata maji ya...
1 Reactions
0 Replies
765 Views
Hapo kuna info kazaa nimefuta lakini kuna mtu amekuwa akinifuatilia kwa miaka saba mpaka amefikia hatua za kujipa full control ya computer yangu katika kipindi cha miaka nane ameshaharibu computer...
1 Reactions
1 Replies
898 Views
Habari zenu wakuu , leo ningependa kuelezea jinsi ya kudownload video kutoka facebook/ Jinsi ya kudownload video za Facebook ( Najua baadhi yetu tunajua na baadhi ya watu wengine hawajui )...
0 Reactions
0 Replies
14K Views
habari wanajf,nina simu(tecno430) kila nikidownload video yenye size kubwa kwa kutumia operamin browser inakataa,yaan haiwezi kabisa,kama kuna wataalamu humu naombeni mnisaidie maana huwa natamani...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Habari wakuu Nina shida kidogo natumaini ya kuwa mtakuwa Na msaada.Kuna MTU yeyote ambae anajua mahali naweza pata OS za dstv au firmware zake ??
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Betri ya simu yangu imevimba mpaga mfuniko haufungi. Sasa hadi naogopa isije ikanilipukia. Embu wataalam wa simu kujeni hapa muone namna ya kunisaidia maana hiki kimeo ndio kinachoniweka mjini!
0 Reactions
1 Replies
734 Views
Smart Elite ni wamekuwa wakiwasaidia watu wengi namna ya kutengeneza simu au computer yako mwenyewe bila kwenda kwa fundi. Ni kampuni ambayo itazindua App yake karibun. Nimezipenda huduma zao...
0 Reactions
3 Replies
710 Views
hi ALL, Where in Tanzania can i get CONICAL SCALAR??? Thanks
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Me nimemaliza bachelor degree ya computer science in software engineering na sasahivi namalizia ccna baada ya kumaliza oracle database 11g ila lengolangu kubwa nahitaji kuwa network engineer...
1 Reactions
4 Replies
968 Views
[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Wakuu ninawezaje kupata sms au call confrimation code ya whatsapp line yangu imefungiwa haitumik kwenye mawasiliano na ilikwisha poteaga N.b:nina shida nayo sana wakuu..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naombeni mwongozo wa ku unlock moderm tajwa hapo juu.. mubarikiwe sana
2 Reactions
6 Replies
7K Views
Niaje wadau, Ni muda sana sijapost kitu humu ndani, mambo mengi. Leo ningependa kuwasilisha shell script niliyotengeneza kunisaidia kutafuta decrypted hashes, sana sana za MD5. Script hii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaj iphone 5 yenye icloud (password locked). Mwenye nayo please tuwasiliane.
1 Reactions
1 Replies
900 Views
Kwa yyte anaefaham namna ya kutoa icloud naomba msaada tafadhali
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom