Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,621
- 30,580
wadau napendelea zaidi kutumia wap stlye kuliko desktop style nikingia jamii forum cha ajabu toka juzi niki select wap stlye muonekano unakuwa hivi-kama inavyoonekana hapo chini.
setting kwenye pc yangu ziko vizuri ,nashindwa kuelewa tatizo ni nini? msaada tafadhali kwa anayefahamu
setting kwenye pc yangu ziko vizuri ,nashindwa kuelewa tatizo ni nini? msaada tafadhali kwa anayefahamu