Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habarini wakuu,natafuta microsoft lumia 950xl,kwa dar es slaam naweza kuipata wap and for how much?
0 Reactions
0 Replies
534 Views
File details:MT6580__TECNO__TECNO-L8Plus__TECNO-L8__5.1__L8PLUS-H805C1-L-160721V29 Naomba la kukopy toka kwenye simu ninayo download hayawashi simu sijapata file lenye details za hapo juu (Reason...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hii mitandao naona ni ya wanasiasa mbona haichukuliwi hatua leo 1GB= Tshs. 2,000 200MB = Tshs. 1000
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Vifaa hivi vifuatavyo bei yake inasimamaje? i) Main switch "Havels" 12 ways ii) Circuit Breaker "Havels" single phase iii) Twin cable 10mm iv) Single core cable 1.5mm kwa roll moja red, black na...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Nikichaji simu ina andika maandishi haya low battery temperature Simu inatatizo gani na nifanye nini kuondoa tatizo hili
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mtaani ni shinda uamuzi ni wako kuja kupata mafunzo ya kujifunza kufanya installation za camera au kusubiri ajira GS POWER INSTALLATION PAMOJA NA CHUO KIKUU CHA KENVISION NAIROBI PAMOJA NA WADAU...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu natumaini mu wazima wa afya. Lengo la kuja hapa ni msaada wa namna ya kupata chanel za Azam TV maana wananiambia "NO PROGRAMME" hata nikiserch hakuna channel wala radio nayopata...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari za leo wanajamvi, Naomba msaada wenu katika hili. nahitaji kusoma IT katika ngazi ya advance diploma, nimekuwa nikijiuliza ni chuo gani kitanifaa kwa kozi hiyo ambapo kama nitahitimu...
1 Reactions
43 Replies
13K Views
Guys Nina pc niliweka flash ya mtu yenye wale virus wanaohide files na kuziweka shortcut ... sasa kila nikiweka any external drive inapigwa shortcut nauliza jinsi ya kuwatoa completely kweny PC.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Natumia Nokia Lumia 520 windows 8.1, nataka Ku upgrade ili niweze kutumia windows 10. Kuna application inaitwa windows 10 upgrade advisor sasa nikitaka Ku upgrade to windows 10 inasema not...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimefikiria kuandika makala hii kuwasaidia hasa wale wanaojikuta wamekuwa na anwani za barua pepe kwa kulazimika (kama vile kupata huduma za Playstore kwa watumiaji wa Android) na pia kwa huduma...
1 Reactions
2 Replies
6K Views
Habari. Wakuu kutokana na hali ya maisha kuzidi kuwa tight na mitandao ya simu kuzidi kupunguza MB naomba mnielekeze namna ya kupata line ya Halotel ya chuo ili niweze kupata university offer.
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Habari wanabodi Katika simu yangu kuna tatizo la "storage space run out ". Naweza kuweka memory card ya Gb 16 ambayo ni empty kabisa lakini nashindwa ku download hata picha ya kb chache...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
habari wandugu, leo nimekuja na viswali vyangu baada ya kupita website ya tcra na kukosa majibu yakinifu kuhusu huku kuhamia kwa digitali kutoka analojia(digital migration),na maswali yangu ni...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari za asubui wadau. Hivi window10 inaitaji kua na antivirus?
0 Reactions
5 Replies
729 Views
Habarini members! Nikichukua Cardreader nikiweka memery card kwenye screen inaniambia USB 2.0 nini tatizo?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu wa ukumbi huu leo niko na shida kuhusu PDF kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji kutuma PDF kwenye website flani ya nje bt inahitajika folder langu liwe na MB moja kamili sasa...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Tafadhari Shufu Kichwa cha Habari Hapo Juu,, Naomba Kusaidiwa, Applications zote za Simu yangu ya Android TECNO Boom J8 Zinafanya Kazi Upande wa Internet Kasoro Whatsapp na Instagram ambazo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jaman mi ni Wa long time hapa jf ila cjui jinsi ya kuipost pic humu jf o kuiweka habar nzima kutoka blog nyngine kuiweka hapa ,ivo naomben mnsaidie ili nishiriki nanyi kikamilifu
0 Reactions
3 Replies
804 Views
Ndugu zangu wataalam wa computer laptop yangu haitaki ku log on nikiweka password zangu inanionyesha hivi.... Naomba msaada
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom