Msaada kuhusu M Pesa

mtanzania10

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
271
81
Msaada kwa anaye fahamu namna ya kutoa pesa ulizotumiwa kutoka mitandao mingine kwa njia ya SMS ambapo unapata sms uende kwa wakala wa M Pesa ndan ya siku saba
 
MSAADA KWA ANAYE FAHAMU NAMNA YA KUTOA PESA ULIZOTUMIWA KUTOKA MITANDAO MINGINE KWA NJIA YA SMS AMBAPO UNAPATA SMS UENDE KWA WAKALA WA M PESA NDAN YA SIKU SABA
Nenda kwa wakala wa mtandao WA mtu aliokutumia hela na number ya sim ya mtumaj na sms utapewa hela yako kama ilivyotumwa hamna makato
 
Sharti usifute SMS inayoonesha umepokea pesa.Nenda kwa wakala na hiyo sms.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom