Flash haionekani kwenye tv

Mikanjuni

Member
Jan 27, 2012
59
14
Nimenunua flash GB 64, nimeweka PICHA na video nikichomeka kwenye TV haionekani kama flash, nikiiiweka kwenye PC inapiga kazi kama kawaida. Msaada ili niweze kuitumia kwenye TV. Nyingine zinafanya kazi vizuru.
 
Tatizo kubwa nilioona ktk scenario kama zako ni tv yako hai support video format ya izo movie, movie nyingi ulizo download zinakua na format naweza sema advance ambayo tv yako hai support nimeona ni tv latest sana ndio zina support format zote kama izi LED etc tv nyingi ikiwemo ya kwangu ni LCD kuna some movie format hai support na zingine ina support.

kama nilivyokujib apo juu kwamba inafanya kazi kwenye tv nyingine ni sawa kwa sababu iyo tv ina support iyo movie format na simple test chunguza unaweza kuta hata iyo tv ina support ni advance( latest ) version kuliko yako.
 
Nilimaanisha ukiweka flash nyinginge na movie hizo hizo zinacheza, ila hii flash hadisplay kama imechomekwa kwa hiyo TV. Na hii flash kwenye PC inapiga kazi
 
huenda hiyo flash ina tatizo flash nyingi kuanzia gb 32 kibongo bongo huwa zinasumbua. huenda ni flash feki
 
Tv yako itakuwa hai support flash za ukubwa huo utashangaa ukichukua flash aina hiyo ambayo ina gb ndogo itakubali nafikiri nimeeleweka hata simu zinatofautiana ukubwa wa flash zinazo support
 
Back
Top Bottom