Msaada: Hii decoder ya ebay nikiagiza itafanya kazi Tanzania?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,784
20,155
Naulizia kama itafanya kazi bongo
nimeikuta inauzwa ebay na inaruhusiwa kuuzwa mpaka tanzania imetajwa pale
5810f082347985908cf566274575023f.jpg
0319ee4c0030d1b8a70b22cb1bc61bc7.jpg
4e083aed79f805d52586dc2cf8c3f62b.jpg
a1a5bd7548f78ab91cc4146cc9c4c533.jpg


DVB-T2 High Definition digital terrestrial receiver MPEG4 TV Receiver For Africa ,Russia or Europe



DVB-T2 High Definition Digital Terrestrial Receiver(Support multiple PLP)
OSD language: English, Russia , French, German, Italian, Portuguese, Spanish, etc

This product can be used in Russia and Europe Country,Angola,Cameroon,Congo,Democratic Republic of the ,Ghana,Kenya,Lesotho,Madagascar,Malawi, Mauritius,Mozambique,Namibia,Nigeria,Reunion,Seychelles,South Africa,Swaziland,Tanzania,Togo, Uganda,Zambia, Zimbabwe,Malaysia ,Singapore,Brunei,Thailand,Indonesia,Saudi Arabia,Sri Lanka,Vietnam,New Zealand

Features:
Hardware Specification:
CPU: MSTAR-MSD7T01(128 pin) MIPS 34Kf@600MHz.
Memory: MSTAR-MSD7T01 implant 32X16Mbit DDR2 Frequency1066
Flash: 32M bytes.
Demodulator Type: MSTAR-MSD7T01 implant.
TUNER: Rafael R836.
Demodulation:
Terrestrial Receiver DVB-T2/T(EN_302755 V1.3.1/EN 300744).
Input RF Frequency: 48~866MHZ.
Bandwidth: 6MHz, 7MHz, 8MHz.
Constellation: QPSK 16-QAM 64-QAM and 256-QAM.
FEC: 1 / 2, 3 / 5,2 / 3, 3 / 4, 4 / 5, 5 / 6.
Guard Interval: 1 / 128, 1 / 32, 1 / 16, 19 / 256, 1 / 8, 19 / 128, 1 / 4.
FFT Mode: 2K / 8K / 32K.
Input level: -83 - -5dBm.
Software Features:
Fully comply with DVB-T/T2 and H.264, MPEG-4, MPEG-2 Standard.
The maximum speed of the traffic flow of at least 50 Mbit / sec.
Supports 3D interface.
Supports Sleep Timer.
Supports teletext / subtitle / muti-language.
Powerful and highly effective 7-day EPG function.
AUTO, 16:9 Pillar Box, 16:9 Pan G Scan, 4:3 Letter Box, 4:3 Pan G Scan, 4:3 Full, 16:9 Wide Screen
USB 2.0 for PVR,TIMESHIFT, software upgrade and media files playback.
Video output resolution: 480i / 576i / 480p / 576p / 720p / 1080i /1080P.
Video Decoder: Compliant with: MPEG-4 part10 / MPEG-2 ISO / IEC 13818.
MPEG-4 Simple/Main / Advanced Profile @ LEVEL3 (10Mbps).
MPEG-2 Main Profile # Main Level (15Mbps).
H.264 MP#L3 (10Mbps). H.264 HP L4.1(25Mbps).
Audio Decoder: MPEG-1, MPEG-2 (Layer I/II), MP3, AC-3 (Dolby Digital), AAC-LC, WMA
E-AC-3 (Dolby Digital Plus) decoding HE-AAC 5.1 multi-chhannel decoding.
MediaCodec: avi. mpg, .dat, .vob, .div, .mov, .mkv, .jpeg, .ts etc.
Audio Codec: WMA,MP3,AAC (.wma,.mp3,m4a).
Photo Codec: JPEG, BMP, PNG.
License: Optional DTS, Dolby Digital, Dolby Digital Plus, RM/RMVB, Divx License.

Specifications:
Color: Black
I/O interface: 1 * Tuner RF input connector (EC-type, IEC-162-2 Female); 1 * Tuner RF Loop through connector (IEC-type, IEC-162-2 Male); 1 * HDMI (V1.3 / 1.4); 1 * USB port; 1 * (CVBS L R) RCA Connector; 1 * DC in.
Item size: 12.0 * 11.0 * 3.0cm / 4.72 * 4.33 * 1.18in
Item weight: 129g / 4.80oz
Package size: 17.5 * 15.5 * 7.5cm / 6.88 * 6.10 * 2.95in
Package weight: 396g / 13.97g

Package list:
1 * High Definition Digital Terrestrial Receiver
1 * RCA cable
1 * HDMI cable
1 * IR Remote controll
1 * English User Manual(Russian or English)


Shipping:
We ship the item with 2-4 days after payment received ,we don't ship APO/FPO.
Import duties, taxes and charges are not included in the item price or shipping charges. These charges are buyer's responsibility.
Please check with your country's customs office to determine what these additional costs before purchasing.
Buyer should confirm the airmailing address which is provided ,we will not be responsible that if you send a wrong address.We will send the product to your ebay airmail address
We ship the item to USA usually via Epacket , Hongkong post airmail,Singapore post or DHL Express .The tracking number is available.Normally, shipping items to Asia, Australia, North America, west Europe will takes 20-30 business days. Shipping to Mid-East ,East Europe, South America, Africa and any other districts will takes 25-50 days via Hongkong post airmail or China post airmail. And DHL express will takes 4-8 business days to reach your country. If you ship your items via any other methods, please contact us via E-mail or TradeManage.
We will refund all payment If you don't receive the item within 60 days.
Payment:
We accept Paypal only !
Payment should be received within 5 days.
Return policy& Guarantee:
If you don't like the item and want to exchange it ,please contact us before you send item back within 10 days.
We provide one year warranty. If the item is defective, please notify us within 5 days of delivery.
All items must be returned in their original condition, in order to qualify for a refund or exchange of goods.
Buyer is responsible for all shipping costs incurred.
Feedback:
Our success depend on customer's support, please leave a positive feedback if you satisfied with our items.
Please contact us before leaving any neutral or negative feedback, we will try our best to solve it for you.
We guarantee quality of the item and our service. Any questions about the item ,please feel free to contact us .Due to the time is different ,please allow us reply within 24hours.
 
mkuu japo jamaa wameainisha kama inaweza uzwa tz bila shaka pia kufanya kazi inaweza fanya vyema.
kwa bei hiyo ni kama umepewa bure aisee
 
DVB-T2 High Definition digital terrestrial receiver MPEG4 TV Receiver For Africa ,Russia or Europe
ndio itafanya kazi.

Ila usiagize hiyo - Sio chagua sahihi, sikushauri ununue, iko limited sana kimatumizi, Channel ni chache.

Decoder ya kuagiza vyema ikawa ni Both S2 & T2 (DVB-S2 DVB-T2 1080P Full HD)

Zipo ebay kuanzia USD $35
 
ndio itafanya kazi.

Ila usiagize hiyo - Sio chagua sahihi, sikushauri ununue, iko limited sana kimatumizi, Channel ni chache.

Decoder ya kuagiza vyema ikawa ni Both S2 & T2 (DVB-S2 DVB-T2 1080P Full HD)

Zipo ebay kuanzia USD $35
Sasa mkuu itafanyaje kazi Tanzania??atapata channel za kampuni gani??startimes??azam???DSTV???.......kwa sababu chanell za tv hutolewa na kampuni fulani!!
 
Nimekupata mkuu!...........hivi kuna ile system ya kutumia android tv box,hii njia huwa inakula bando kubwa la internet kwa mwezi?channel huwa zinakuwa buffering kila saa?
Ulaji wa bundle yategemea matumizi.
- Je unatumia muda gani kuangalia Tv/ movie
- Je channel husika iko kwenye qulity ipi 360p au 480p au 720p

Swala la buffering
- iwapo internet ni stable hakuna buffering mfano waweza angalia mevhi ya dakika 90 bila kukata au ku freeze
- Zipo njia za kuondoa hili tatizo pia
-
-
 
ndio itafanya kazi.

Ila usiagize hiyo - Sio chagua sahihi, sikushauri ununue, iko limited sana kimatumizi, Channel ni chache.

Decoder ya kuagiza vyema ikawa ni Both S2 & T2 (DVB-S2 DVB-T2 1080P Full HD)

Zipo ebay kuanzia USD $35
mkuu nimekupata sana vipi kuhusu local channel zipo? mm s. mtaalam sana pale ebay nitajuaje km hii ina channel za kutosha na nitaandikaje pa kusearch?
 
mkuu japo jamaa wameainisha kama inaweza uzwa tz bila shaka pia kufanya kazi inaweza fanya vyema.
kwa bei hiyo ni kama umepewa bure aisee
asante mkuu ila kwa kua naagiza moja tu kwa,matumiz yangu binafsi nitauliza mambo ya kodi ikifika bongo?
 
asante mkuu ila kwa kua naagiza moja tu kwa,matumiz yangu binafsi nitauliza mambo ya kodi ikifika bongo?
- Rejea post namba 8 hapo juu. Kwenye hizo link kuna info za kujitosheleza
- kwa kuwa unahitaji moja
1. Naweza kukuuzia (NINAZO) hapa nchini bei tsh 120,000 (cash On dellivery) pia
2. Utapata Technical support ili kuhakikisha unapata Locat Tv channel, Channel za Sports, Movies, News, Cartoons, etl

Call/ sms 0717 54 57 62
 
- Rejea post namba 8 hapo juu. Kwenye hizo link kuna info za kujitosheleza
- kwa kuwa unahitaji moja
1. Naweza kukuuzia (NINAZO) hapa nchini bei tsh 120,000 (cash On dellivery) pia
2. Utapata Technical support ili kuhakikisha unapata Locat Tv channel, Channel za Sports, Movies, News, Cartoons, etl

Call/ sms 0717 54 57 62
Mkuu nisaidie nami nikishanunua hiyo kitu je kuna kitu cha ziada cha kulipia kwa mwezi au mwaka je mimi kwa sasa nina dishi la azam je litatumika hilo hilo kuweza kunifabya nitizame tv bure na free naomba jibu ili ninunue fasta hiyo kitu mkuu
 
Lakini pia ningependa kujuzwa ni chanel zipi ambazo nitazipata ambazo zitaniwezesha kutizama ligi ya uingereza ,uefa,la liga na bundesliga pia
 
- Rejea post namba 8 hapo juu. Kwenye hizo link kuna info za kujitosheleza
- kwa kuwa unahitaji moja
1. Naweza kukuuzia (NINAZO) hapa nchini bei tsh 120,000 (cash On dellivery) pia
2. Utapata Technical support ili kuhakikisha unapata Locat Tv channel, Channel za Sports, Movies, News, Cartoons, etl

Call/ sms 0717 54 57 62
Ntakutafuta mkuu
 
- Rejea post namba 8 hapo juu. Kwenye hizo link kuna info za kujitosheleza
- kwa kuwa unahitaji moja
1. Naweza kukuuzia (NINAZO) hapa nchini bei tsh 120,000 (cash On dellivery) pia
2. Utapata Technical support ili kuhakikisha unapata Locat Tv channel, Channel za Sports, Movies, News, Cartoons, etl

Call/ sms 0717 54 57 62
Mkuu hizo decoder zako zinashika channel kama vile Discovery science,animal planet NatGeo Gold,Natgeo Wild,CNN,Animal planet,IDX crime?
 
Ndugu Kilangi masanja
je kuna kitu cha ziada cha kulipia kwa mwezi au mwaka
Hakuna malipo ya mwezi wala mwaka, Hizi ni FTA decoder, ni zaidi ya decoder za kawaida
je mimi kwa sasa nina dishi la azam je litatumika hilo hilo
Utaongeza dish la FT6 au FT8 maana nyingi ya Channel zinapatikana kwa Cband LNBf na sio KU
Litatumia pia hilo dish( la azam) kwa channel zingine chache.
Lakini pia ningependa kujuzwa ni chanel zipi ambazo nitazipata ambazo zitaniwezesha kutizama ligi ya uingereza ,uefa,la liga na bundesliga
Hili tumelijadili sana kwenye hii thread: https://www.jamiiforums.com/threads...jia-ya-kuepuka-visimbusi-vya-kulipia.1022441/
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom