2in1
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 211
- 79
Wakuu habar zenu,nasomea automobile engineering naomba kufahamishwa ninunue laptop yenye uwezo gani na brand gani ambayo itakidhi shughuli zote za masomo yangu.Nina bajeti ya 400000/= na kama itanibidi niongeze pesa ili nipate laptop itakoyanifaa zaidi nipo tayar kuongeza.