shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,441
- 3,613
Habari wakuu,
Kuna hizi simu za wagiftishe zinatozotolewa na tigo ambazo SIM slot moja iko customized kwa ajili ya tigo tu na hiyo in access ya hsdpa upande wa internet wakati ile slot nyingine ni EDGE pekee, na ukiangalia mtandao wa tigo ni majanaga hata ukisoma h+ bado unazingua sana hivyo huwezi furahi huduma zao kuna namna ya kutoa SIM lock kwenye hizi simu ili tutumie mitandao mingine.
With regard.