Wakuu habari za humu.
Naomba msaada kwa yeyote atakayeweza kufungua simu yangu aina ya LG iweze kusupport huduma za tigo pesa na m pesa.
Shukurani kwenu
Nb : Pamoja na hayo bado kwenye simu nimeweka memory card ya 4GB na sijahifadhi chochote.
Sasa wakuu suala la storage kukosekana linakuja vipi? hata app ya 5 Mb nashindwa ku download!
Please...
Natumia huawei G510 yaani inanipa shida sana kila nikitaka kuingia fb inazimika. Nashindwa kubaini tatizo ni nini.
Pia najaribu kuingiza link ya kupata TV za hapa Tanzania inagoma. Msaada tafadhali
Wakuu natumia device ya Lenovo na IWAPO TUU nikitumia SIM CARD ya AIRTEL na nikifungua Data, my device automatically GPS inajiswitch on!! Hata kama nikiswitch off!! After 40 or 30 second...
Habari wanajamvi
Nahitaji msaada,simu yangu inazima hovyo hovyo,tena nikiwasha internet ndo balaa, mwenye utaalam namna ya kuifanya irudi ktk hali yake nisaidie tafadhali.
Shukrani.
TAIFA A3 LAPTOP
The TAIFA Brand Laptop is a product of the Nairobi Industrial and Technological Park (NITP). NITP is a kenyan vision 2030 flagship project between Jomo Kenyatta University of...
Habar wana tekinolojia naomba msaada juu uwezekano wa kupata simu ya samsum mpya original kwa shillingi laki tatu tu
mfano samsung j5 au S4 au note3 au yeyote yeyote yenye angalau kioo kikubwa kidogo
Habari zenu wanajukwaa...Kwa dar wapi naweza kuoata pc yenye hizi specs kwa bei rahisi na ubora mzuri.
Core i7
2.7 ghz
ram 4gb
video memory 2gb
model yoyote
Habari za mchana,
Poleni na majukumu. Nataka nisikie kutoka wa mtumiaji wa TECNO W5 Lite kama ina uwezo wa 4G. Ninatumia Vodacom na mkoa niliopo bado Vodacom 4G haijafika.
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.