Msaada kwa hii PC

Rai Pazzy

JF-Expert Member
Jul 6, 2015
493
186
Wakuu habari za jioni
Naomba kwa wenye uelewa na mambo ya computer wanisaidie katika hili
Nina pc yangu aina ya lenovo G50 inatatizo
1.kuwaka inasumbua yani ukiiwasha inakuandikia jina la lenovo tuu inaweza ikaganga hapo mpka uiforce shutdown
2.HDD siioni, i mean yani nikiingia katika my computer nakutana na local disk c na zile disc nyengne hazionekani yani zile local disk d na local disk E.
Lakini pamoja na hayo hapo yote zile application ambazo niliziinstall katika local disk d zinafunguka kama kawaida but kule kwenye my computer local disk d na e hazionekani
Naombeni kwa wenye uelewa wa haya mambo wanipe ufumbuzi vizuri hii inatokana na nini
Na nnawezaje kulishughulikia hili tatizo
Nawasilisha
 
Kuna possibility uliformat hizo partition mbil bila kujua au mtu alikusaidia kufanya ivo. Kama sio hivyo basi jarbu kusearch chcht kilichokua ndan ya local disk d kama utakipata angalia location yake kwa saiv ndan ya computer yako
 
Nimeshafanikiwa kurudisha vitu vyangu thanks kwa alinielekeza Mungu ambariki sana
682ba0bf97291ff927d8cb9ebbff946d.jpg
 
Nisaidieni hapa...
Pc yangu ya dell nikiiwasha huwa inaniletea kitu km hichi....
6209b733f66b9940613d83676a4f3ecf.jpg
... Nisaidieni
 
Back
Top Bottom