Msaada: Memory card yangu haiingizi nyimbo za mp3,mp4 na format zingine

Msemaji_

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
602
800
habari za mda huu wapendwa
kama thread inavyojieleza hapo juu jaman mm ni mjasilia mali wa kuingiza nyimbo kwenye simu na libraly hapa mkoan kwetu sasa kuna mteja kaniletea memory card ili ninuwekee nyimbo but meory haipokei nyimbo na sijajua tatizo ni nn but memory yenyewe File system ni FAT.
naombeni mnisaidie nifanyaje ili niweke nyimbo.
Capture.JPG
 
Back
Top Bottom