Habar wakuu nna pc yangu aina ya HP probook ci5 nlmuazmisha mtu akataka kuicharge kwa adapter tofaut ikapga shot ile adapta na pc ikagoma kuwaka pia imekatka huks (frame zlzo shkilia kioo) naomb kwa fund yoyote alie Arusha na anaweza solve hayo matatzo anchek pm au 0757897060.