HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,546
Ni mda sana umepita nilikuwa najaribu kufungua akaunti ya paypal nashindwa leo nimeweza,nimeona kushea na wengine waliokua na tatizo kama langu wafaidike.
Zingatia yafuatayo;
1. Hakikisha una mastercard/visa inayofanya kazi,ya benki yoyote ile
2. Hakikisha una huduma ya internet banking japo sio lazima ila nakushauri kwa maana itahitajika kwa mambo mengi tu zaidi ya paypal,kama huna nenda kafungue kwanza au kama unayo/ukishaipata
3. Nenda website ya paypal(kwa kutumia pc)
4. Chini ya website yao upande wa kulia utaona bendera ya Marekani badilisha na weka bendera ya TZ (hii inaondoa masuala ya zip code na state na kubakia details rahisi na chache hapa nlikua nachemka sana)
5. Endelea kujaza email na password
6. Kwenye billing information hakikisha unaandika sehemu ulipofungulia akaunti na chukulia kadi yako, mfano ulifungulia akaunti Shinyanga mjini na ukachukulia kadi hapohapo lakini sasa hivi unaishi Mwanza,kwenye paypal account inatikiwa uziandike hizohizo(za Shinyanga mjini) hata kama hauishi tena Shinyanga,unatakiwa uandike mtaa,wilaya na mkoa ambao ulichukulia hio kadi/kufungua akaunti hata kama umeshahama(Shinyanga mjini) hapa nilikua nakosea naandika mji ninaoishi sasa ilihali akaunti yangu nilifungulia kwingine hivo ikawa inaniambia 'billing information hazifanani na details za kadi yangu'
7. Ukiandika kwa usahihi details zako akaunti ya paypal itafunguka,na inatakiwa ufanye confirmation za email yako na kuactivate akaunti yako(ni rahisi kama unanawa angalia email yako tu)
8. Hatua ya mwisho kabisa ni ku-confirm kadi yako,watakutumia namba kwa bank statement baada ya siku 2 na kuendelea(angalia kupitia internet banking) au kama huna internet banking kaombe bank statement baada ya siku 2 utaziona hizo digits 4 zitumie ku confirm kadi yako(just one click)
9. Hongera akaunti yako ya paypal imekamilika na sasa waweza kufanya manunuzi mtandaoni na kutuma pesa/kupokea.
ANGALIZO: Matumizi ya miji kwenye uzi huu haihusiani na mtu yeyote alie hai/aliekufa.
ASANTENI