Mwalimu mzuri wa computer languages

ghetopuzzle

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
440
504
Nahitaji mwalimu mzuri wa computer language
Ambaye atanielekeza language zote deeply
Malipo tunazungumza baina ya mm na yeye
Nb:awe anaeleweka anaezielewa language sio kunikaririsha
Kama Uko vizuri pm
 
Binafsi sielewi umezungumzia kitu gani...! Java na c# hebu nifungue kdg labda na mimi nitakua miongoni mwa wanaohita kusoma hicho kitu maana sasa nipo free na napenda sana hizo mambo.
Kwanza tuanzia hapa unaijua computer programming language?
 
Kwanza tuanzia hapa unaijua computer programming language?
Nadhani tuanzie hapo kama inawezekana, maana ninachokifahamu kwenye comouter ni programs ninazozifanyia katu.! Nimekariri hizo za Microsoft offices tu. Zaid ya hapo kuangalia movie na kucheza game
 
Sisi huwa tunafundisha kama utapenda ila tuna ratiba zetu. Mwaka jana tulikuwa na training kama hiyo naambatanisha tangazo kukupa idea ya kinachofanyika. Kwa mwaka huu Training ya kwanza ni mwezi Mei.

(NOTE: Hiyo ilikuwa Maalum kwa Wanafunzi na gharama zake huwa tofauti na za kawaida)

Kama utapenda ratiba kamili ikitoka nikuarifu nitumie Namba yako na email inbox.

Training inaendeshwa Mubashara ukiwa na mwalimu, Ubao, n.k kama darasani. Pia session inakuwa recorded na inatunzwa kwa muda in case ulikosa darasa unaweza ku play back.

Kama unahisi itakufaa basi unakaribishwa Mwezi Mei na kama utataka kuwa notified tarehe ratiba ikiwa tayari basi nitumie details PM kama nilivyosema.

Kuhusu wakufunzi, ni wataalam ambao kuandika Code ndio kazi inayowaweka mjini tangu kitambo.
adv.jpg

Pia tunafanya Corporate Training kwa Makampuni kwa Kozi anuai. Kwa aliye interested ni PM kwa ajili ya Course Catalog. Haya yote yanakuja na website ambayo kwa sasa iko katika matengenezo.

Mwezi huu tulikuwa na Course hii na Watu wa Corporate pale Flomi Hotel Morogoro (Angalia Attached PDF).

Karibuni kama kuna maswali!
 

Attachments

  • Training Flier A5.pdf
    457.9 KB · Views: 39
Back
Top Bottom