Urgent need of Office 2010 software

OPTIMISTIC

Senior Member
Mar 12, 2011
125
20
Salaam sana,

Nimeinstall office software 2010 kwenye computer yangu, sasa inahitaji activation keys. Naomba msaada wa yeyote mwenye key. Nahitaji mbili pamoja na mwenzangu ofisini.

Ninashukuru sana,
Godfrey
 
tafuta ki software kinaitwa Microsoft Toolkit kitai activate

N:B This is illegal inabidi ununue activation keys halali kutoka kwa microsoft
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom