Download .iso file ya windows 10 then uwe na flashWakuu mi sio mtaalamu sana wa mambo ya computer,sasa nimenunua pc ya apple(macbook),na haijaja na window system,system iliyokuja nayo inanichanganya nataka niinstall window ten,naombeni msaada wa mautundu ya kuweza kuweka hii window.
Nashukuru kwa mchango wako mkuuDownload .iso file ya windows 10 then uwe na flash
Ingia kwenye LauchPad>>>>Other >>> BootCamp assistant
Tumia Bootcamp kutengeneza partition na kuinstall windows.
Video kibao zipo Youtube zitakupa muelekeo ni wewe ku search hayoaneno Bootcamp + windows
Nashukuru kwa mchango wako mkuu
pamoja mkuu..angalia hiyo picha niliyoongeza kuna swala la drivers pia ukisha Install windows 7/8/10
Ila kipindi unatengeneza Flash usisahau ku tick ku download windows support software from Apple ambazo ni drivers na hii itahitaji internet almost 1GB ku download hizo drivers