Msaada: Wapi nitapata Circuit board printer

Dp800

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,766
3,650
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nimedesign elelctronic circuit sasa nataka niiprint kwenye PCB ila sifahamu wapi naweza kupata hii huduma hapa Dar.Asanteni wadau
 
Una milioni hamsini? We usidhani haka ni kama kale ka printer cha stationary. By the way, sio lazima uiprint kwenye circuit board. Unaweza ukatumia nyaya za kawida sema circuit yako itaishia kuwa kubwa kweli kweli... So far, hongera kwa ugunduzi...
 
Sihitaji printer nahitaji kuprintiwa circuit yangu niliyo design Nichumu Nibebike kama una ufahamu utakua umenisaidia sana
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nimedesign elelctronic circuit sasa nataka niiprint kwenye PCB ila sifahamu wapi naweza kupata hii huduma hapa Dar.Asanteni wadau
Nenda VETA watakushauri. Zipo kampuni kibao huko nchi za nje wanafanya hizo kazi lakini in BULK sio kuprint saketi moja au mbili
 
Nenda VETA watakushauri. Zipo kampuni kibao huko nchi za nje wanafanya hizo kazi lakini in BULK sio kuprint saketi moja au mbili
Asante mkuu option nzuri nitaifanyia kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom