Msaada kwa anayejua hichi kitu wandugu

shamajengo

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
1,217
1,431
Wakuu Mimi si Fundi wala sina utaalamu wa mambo ya umeme nini kinasababisha feni inachelewa kuwaka ukiwasha afu hata ikiwaka inafanya kazi na kusizi baada ya mda fulani
 
Ni feni gani? Pangaboy au feni za chini. Kama ni pangaboy inawezekana CAPACITOR imekufa.

Kama ni feni ya chini au za ukutani basi inawezekana brush au coil zina matatizo
 
Mi pia yangu ya chini huchelewa kujizungusha nikawa najiuliza swali Hilo pia nini kinasababisha kuchelewa kujizungusha
 
Kwahyo mkuu tofauti na vumbi hamna maana mpaka inatoa harufu as if kunakitu kinaungua kwa ndani
Ni winding zimeoverheat hadi insulation ikayeyuka sasa nyaya zimegusana. Hapo inazidi kuungua hadi itapiga shoti kabisa. Tafuta fundi anayesuka motor akuangalizie
 
Kwahyo mkuu tofauti na vumbi hamna maana mpaka inatoa harufu as if kunakitu kinaungua kwa ndani
kuna chuma maalumu lina zunguka ndiyo hilo unaona feni ina fanyakazi hapo kuna mawili lisipo zunguka coil ambayo imetengenezwa kuzungusha hilo chuma (motor) kama motor haitazunguka coil hiyo itapata moto na kutoa harufu vumbi husababisha feni isizunguke kutokana ukavu (dryness) kwakuwa huna utaalamu peleka kw fundi ama nunua feni nyingine
 
Wakuu Mimi si Fundi wala sina utaalamu wa mambo ya umeme nini kinasababisha feni inachelewa kuwaka ukiwasha afu hata ikiwaka inafanya kazi na kusizi baada ya mda fulani
Kama ni stand fan basi ile shaft yake inayoshikili hiyo pangaboi itakuwa inauchafu, nunua mafuta amabayo wanatumia washona nguo(mafundi cherahani) shilingi 2000 kama sikosei, halafu kamimine kwenye hiyo shaft pale karibia inapoingia kwenye motor, igemeza kidogo hayo mafuta yaingie ndani upande ambao shaft imeingia ndani ya mota. Itafanya kazi ila baada ya siku kadhaa itajirudia. The permanent solution ni kupeleka kwa fundi afungue na kusafisha
 
Pamoja sana mkuu
 
Back
Top Bottom