Varbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,124
- 895
Kwa technition wa Jamii Forum Nimekua natumia iphone app kwa muda sasa, lakini leo 30 may
App ilikua inagomagoma kuappdate nikaona niidelete ni download upya!! hua nafanya hivo kama ikiwa inazingua
sasa kila nikiiseach kwa Itune haipatikani!! nikaona isiwe tabu nitumie laptop jibu nililopata haipatikani kwa sasa
naomba kujua Imekuaje tena?