Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hello,naombeni msaada ndugu zangu..king'amuzi cha startimes channels zimefutika..zmebak channel zao za matangazo pamoja na tv1 tu..nafanyaje kuzirudisha??nmeshafanya search lakini zinarudi hzo...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
wakuu habari za wakati! naomba kupewa msaada nataka kulink account yangu ya CRDB na paypal sasa nimekwama kwenye routing number, debit card na bank account msaada wenu ni muhimu sana.
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Wasalaam ndugu zangu, naombeni masaada mwenye SPSS SOFTWARE anisaidie hapa, kuna kazi natakiwwa niifanye hapa nimepanic hatari, nimejaribu ku download nimeshindwa kabisa, naombeni mwenye nayo ai...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Habari zenu. Nilirestore simu yangu sasa nimeshindwa kuweka setting za internet. Nimejaribu kadhaa bado imegoma kufanya kazi.Natumia Halotel.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeanza kusoma soma baadhi ya vitabu kuhusiana na hii kitu(Arduino) na nimekuwa interested kujifunza zaid ila nimepata changamoto kubwa mbili. kwanza ni kuhusu vifaa sijui naweza vipata wapi kwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nahitaji software developer kwa ajili ya kutengeneza software ya task management For more details contact me on 0744044048
0 Reactions
1 Replies
682 Views
Habar naomba msaada uc browser kwenye simu yangu nikidownload ikikaribia kumaliza inafail na kuandika retry na haijidownload tena msaada plz
0 Reactions
5 Replies
966 Views
Habari za muda huu Wanajukwaa.. Nina simu moja Sumsung Grand Prime tatizo lake ni kwamba, imewekwa laini lkn inaandika "Emergency Call" na ukijarbu kupiga inasema "Nertwok not registered"...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
After months of months of hard work I finally did it nimeweza reverse engineer cryptolocker.It was amazing hii experience all my years of programming ila cjawahi pata hii experience ya ku reverse...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
->Je Programming Language ni nini ? Kama hauna idea kuhusu maana halisi ya Programming Language basi ACHA usijifunze. ->Je nianze kujifunza Programming Language ipi ? Hii inategemeana na wewe...
6 Reactions
46 Replies
8K Views
Habari zenu wadau naombeni Msaada kulingana na kichwa apo juu pia nakaribisha ushauri
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii flash sms ni kama zile sms tunazotumiwa na tigo baada ya kujiunga na kifurushi chochote.ukitumiwa huwa inakuja moja kwa moja imefunguka. Nakumbuka enzi tunatumia nokia za kubonyeza keypad...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
kuna utofauti gani kati ya ICLOUD---------? NA APPLE ID------?
0 Reactions
2 Replies
784 Views
Msaada jinsi ya kuupdate windows 8.1 to windows10 kwene Nokia Lumia 1320
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Habari ya kazi mafundi wana JF. Samahani nilikua naomba msaada wa kuifungua simu aina ya Nokia N8. Ilijilock baada, ya kuweka memory kumbe kwa bahati mbaya ilikua na virus. Naomba mnisaidie nifanyeje
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwenye link ya Chanel five live TV naombeni.. .
0 Reactions
1 Replies
785 Views
Natanguliza shukran zangu tafadhal wadau wa jukwaa hili naomben maelekezo jinsi ya kubadili au kurekebisha jina ninalotumia kweny google Mfano natumia mandelaputin@gmail.com Nataka nibadili iwe...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Naomba mnisaidie nifanyaje simu yangu samsung note 2 ifungue wi_fi na bluetooth. Imejiupgrade version from 4.1 up to 4.4.1
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Niko dilemma kidogo hapa nataka kuongezea ka degree kangu ka ICT ila sioni kipya baada ya kufuatilia mitaala ya degree naona Ni yaleyale tu. Kwa wadau mnisaidie kidogo maana nataka nishift...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom