unaweza kuwa upo sahihi bt nataka kujus hatma ss nifanyeje au ndio mwisho wake umefka?Kwanza kabisa Mimi nakiri kuwa mtumiaji mzuri na shabiki was Tecno....
Sifa ya Tecno ndio hiyo mojawapo, haziishiwi maajabu hasa zikianza kuchoka. Kwa hiyo ikikosa misukosuko ujue hiyo sio Tecno
Mkuu au utakuwa umenunua galaxy note 7 labda umejisahau mbona tecno hazina shida cheki vzr cm yako.naomba mwenye kujua anisaidie kuna simu ya tecno h5 ina tatzo ukizima data inajiuga kisha inaanza kudownload vitu vya ajabuajabu,betri nayo inachemka na kuisha haraka sana,ASANTENI
sasa huyo nitakae muuzia si baadae lzma atakuja kudai hela yake?Best solution fanya kuiflash, then iuze, tecno zinazingua, hata mm nishakuwaga nayo ikawa inajiwasha data hata ukizima, nilichofanya ni kuiuza maana sikutaka kuflash...so wewe fanya uiflash then uiuze tu, maana huwez jua kama itapona kabisa au tatizo litarudi tena
Simu kwasasa ni Samsung na iPhone izi tecno Huawei ni madudu
Sio kwa tecno h5 mdau ni balaa labda izo zingineMmni mdau wa techno miaka kama 15 hivi , kusema ni kimeo, si kweli hata Samsung ni utata tu, hapa kubwa ni matimizi na kuepuka kupigqa na vurus