mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,311
- 944
Simu yangu ilikuwa inaniletea sms ya kuupdate system nilikuwa naipotezea lakin jana nikahamua kuifanyia update baada ya kumaliza kufanya update tatizo la kupoteza network likaanza naweza nikawa naongea na mtu mtandao unapotea simu inakata baada ya hapo mtandao unarudi tena.tatizo linaweza kuwa nini simu ni Tecno J8