Msaada anaejua kutengeza kuncofigaration ya free internet kwa airtel,ttcl na halotel

spleeingiant

Senior Member
Oct 24, 2016
138
44
Habari zenu wanajamii nahitaji msaada wenu kuna hii issue ya internet kwa vpn anaejua msaada tafadhari...
 
Habari zenu wanajamii nahitaji msaada wenu kuna hii issue ya free internet kwa airtel ttcl na halotel kwa vpn anaejua msaada tafadhari...
Nikupe idea moja. Kwanza sidhani kama utapata hilo jibu hapa. Hawa wanaojua wanafanya biashara, wakikuambia wanapoteza mteja kwako.

Hii kitu nilishaisikia. Ila ukiangali ufundi wake, ni kwamba mpaka kupata hiyo free int*rnet kwa ssh na VPN, unatakiwa kuwa na proxy pamoja na free ports. Kwa mfano now, Airt*l wana free Facebook. Hii ni loophole, wewe kazi ni kutafuta free ports. Ukishapata unatimia tunneling tools(zipo kibao). Unaitaji kuconfigure hizi tools(shida iko hapa na mpaka hawa wanao uza hawaambiani). Ukimaliza unalipia server ya ssh au VPN, inategemea na brandwith ila ni cheap kama $16/month(nothing is free ). Wewe ukimaliza issue zote. Unaweza browse, Airt*l wataona unaaccess Facebook(free) kumbe unafungua Youtube. Hiyo ssh/VPN inakufanya anonymous. Sasa wewe unafanya biashara, unarudisha hiyo $16 unapouzia watu, kwasababu unaweza create accounts kibao.

I hope sija expose your tricks, nimeongelea kwa juu sana. Ila this was educational. Binafsi mimi sifanyi hii issue, ila napenda kujifunza tu.

-callmeGhost
 
Inayoonekana wewe ndo mtaalam mwenyewe. Niku-pm?
 
Hao airtel hawapo humu jf?
 
Wewe utatusaidia sana kupata data
 
umeongea kidogo

umeongea kidogo likini nimekuerewa sana mkuu maana mimi nilisha tumia ya mtu alafu kwa sasa aifanyi kazi
 
Back
Top Bottom