Hii PC inatatizo gani?

shamajengo

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
1,217
1,432
Wakauu hii PC nimekuwa nitumia mda mrefu ila ghafla naona spika moja haitoi sauti
0df79ffd996ceae7ba055fb2b21ae660.jpg

Mwenye ujuzi msaada hapo nini kifanyike
Ili hata nikiwa naenda kwafundi nijue napeleka nikiwa najua shida ni kitu fulani
 
Back
Top Bottom