Hello blogger, unahitajika

Si mzoefu wa blog lakini naweza changia mtazamo wangu.

Naona umelenga audience ya nje ya Tanzania zaidi kwa kuwa una-publish kwa kiingereza.Nadhani hiyo inaweza ikawa challenge kwenye kupata advertisers wa ndani ya nchi.

Lakini nafahamu kuna kina google-adsense, revenue hits etc ambazo watu hutumia kuweka ads na kupata passive income.

Hapo sasa nguvu nyingi inapaswa kuwa katika kuvutia traffic zaidi kuja kwenye blog yako.

Ni mtazamo wangu.

Acha wazoefu waje wakupe madini.
 
Thanks Mkuu kwa mchango wako.
 
Wakuu natumai nyote mu-wazima.
Binafsi ni mgeni katika blogging business, I have gotten my own blog, sasa najua humu kupo na wataalamu na wazoefu wa hii business.
Hivyo basi naomba kusikia kutoka kwenu juu ya madhaifu ya blog yangu, uimara wake na nini niboreshe pia on traffic increasing and so forth ambayo ni http://myoutlookstz.blogspot.com
BRO NI PM TUSHAURIANE MIMI PIA NI BLOGGER
 
kaka blog imetulia yani iko clean ... cha muhimu ni kuregister domain haraka iwezekanavyo.... then apply google adsense ....
pia kwa upande wa kupata traffik nakushauri uanze kutumia swahili endapo google adsense watakukubalia na kukupa acc......... ukikaza kwenye eng language hautapata chochote mtu wangu.... si unajua tz watu wengi ni waswahili...... hawajui ngeli.... pia kupunguza commpetition na site za nje kubwa kubwa,....najua articles zako nyingi utakuwa unzitoa somewhere kene ma website ya nje... so kwenye search engine hautaonekana kirahisi
 
Nimejikuta nimefurah kuiona hii thread,mm pia ni blogger na ninahitaj kupewa msaada kwa wanaofahamu jins gani niiboreshe au kitu gani niongeze au nilekebishe..ntafurah kujifunza kutoka kwenu. Address ya blog yangu hii apo chini
Tanzania Youth Vision
 
Shukrani Mkuu.
Nitazingatia ushauri wako
 
Nimejikuta nimefurah kuiona hii thread,mm pia ni blogger na ninahitaj kupewa msaada kwa wanaofahamu jins gani niiboreshe au kitu gani niongeze au nilekebishe..ntafurah kujifunza kutoka kwenu. Address ya blog yangu hii apo chini
Tanzania Youth Vision
Acha kudandia thread ya mwenzako. Mbona usitulie tu na ukachukua ushauri unaofaa anaopewa mwenzio? Wabongo kwa kudandia mambo duh!
 
Okey am here now!
(1)Kwanza nikupongeze kwa Kile unachokifanya yaani kuanzia Design mpaka Publishing(Though post nyingi ni Copy and Paste)
MAONI YANGU:
Mapungufu.
>>Kama kweli umedhamiria Kupata kipato kupitia blog yako basi huna Budi kuingia mfkoni mwako na kuwekeza pesa nyingi katika blog hiyo(Epuka Bure). Hapa namaanisha Tafuta domain name yako, self hosting(Hama blogspot njoo Wordpress).

>> Unatumia lugha ya Kiingereza kwa maana kwamba unalenga Kupata matangazo ya G.Adsence ila ukweli ni kwamba kwa mwendo huu wa Copy n paste kamwe hutokaa ukubaliwe na Google.

Mazuri.
>> Katika Coding umefanya Poa kwa maana uliweza Ku-customize poa template yako(Umeandika Meta Tagz poa na hata keywords poa, jambo ambalo litakuwezesha kuwa Ranked katika search Engines Tofauti tofauti.

>> Una site map inayo eleweka(Ukianza na NAV mpaka Contents) i.e User interaction, User Experience umejitahidi.

Ni hayo tuu nliyoona kwa sasa tena kwa haraka haraka
 
kaka blog imetulia yani iko clean ... cha muhimu ni kuregister domain haraka iwezekanavyo.... then apply google adsense ....
pia kwa upande wa kupata traffik nakushauri uanze kutumia swahili endapo google adsense watakukubalia na kukupa acc......... ukikaza kwenye eng language hautapata chochote mtu wangu.... si unajua tz watu wengi ni waswahili...... hawajui ngeli.... pia kupunguza commpetition na site za nje kubwa kubwa,....najua articles zako nyingi utakuwa unzitoa somewhere kene ma website ya nje... so kwenye search engine hautaonekana kirahisi
Kuna umuhimu gani wa kuregister domain ?..je kuna athari gani kama nikiendelea kutumia blogspot ?
 
Back
Top Bottom