Ben bizzoh
Senior Member
- Dec 28, 2013
- 121
- 5
Mimi ni kijana ambae ni mtafutaji nataka niwekeze kwenye blogging hivyo basi naomba mwongozo na ushauri juu ya kazi hii. Na pia nawezaje kujiunga na Google AdSense
Ahsanteni
Ahsanteni