bindira Tz
New Member
- Feb 7, 2017
- 4
- 1
Habari za muda huu waungwana
Kwanza natanguliza samahani kama nitakuwa nawaboa ila kiukweli nataka kujua
Hivi ni kweli sony xperia z3 ni water proof
Mimi nimenunua juzi simu ya aina hiyo nataka kujaribu kuweka kwenye maji ila naogopa
Naombeni wataalamu mnifahamishe zaidi