Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wana JF, karibuni tena kwenye makala nyingine kutoka Tanzania Tech leo tunaenda kujifunza jinsi ya kuanzisha darasa kupitia kwenye mtandao bila kutumia gharama zozote zile. Njia hii inafaa...
4 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari, Nina shida kidogo wazee, nina Samsung s5 original na Samsung J7 original cha kushangaza zote hazipandishi 4G. Nimejaribu kurekebisha APN ila hakuna lolote. Nikipiga simu halotel customer...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Nahitaji kujuzwa ni app gani itaniwezesha ku recod simu ninazopiga ama kupigiwa kwa imo na watsapp tafadhali.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hello husika na kichwa cha Habari, wapi Nawezaa pata hicho kifaa.
1 Reactions
16 Replies
3K Views
habarini za asubuhi, nina sim card ya TTCL na nlikua nahitaj kutuma salio kwenda ttcl nyingine. natanguliza shukran.
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Naitaji kujuzwa ni app gani ambayo itaniwezesha ku recod sim ninazo piga ama kupigiwa kwa imo na wattsapp tafadhali
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Ninapata shida kwa siku ya pili sasa, whatsapp nashindwa kabisa kuingia. Internet inasoma H+ 200Kbs per second, ila nikiingia whatsapp tu inashuka hadi 0 na nashindwa kutuma...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari zenu wadau wa JF, Naombeni msaada juu ya namna gani naweza kuitambua Samsung orijino. Asanteni sana.
2 Reactions
58 Replies
13K Views
Aina ya Xiaomi, Samsung, Lenovo au Oppo. Iwe na internal memory 16 hadi 32 Gb, Ram kuanzia 1gb, ukubwa wa skrini uwe at least 5.5 na kuendelea. Nina 220k. Picha muhimu.
1 Reactions
3 Replies
969 Views
Waungwana nautafuta Uzi ambao ulielekeza namna ya kufanya Simu kuwa nyepesi unapofungua apps zake. Aliweka mtu humu,kwa kuanza kutafuta developer ambayo pia imefichwa.
0 Reactions
1 Replies
384 Views
samsung s4 inazingua kwenye sim kadi kuna mda inaandika sim card removed restat,ukisha restat inaonekana nini tatizo
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Naombeni Msaada. Nimenunua Prado KDJ95 engine 1KD. Lakini lina tatizo la miss wakati mwingine MISS inakuwa kubwa sana wakati mwingine inapotea kabisa. Tatizo litakuwa ni nini na nimwone nani hapa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Dah, nilikaa nje ya Jamii Forums na Jukwaa la Teknolojia kwa muda, nimemiss mengi sana. Jamii Forums imeendelea kuwa sehemu ya kujifunza na kuelimisha vilevile kama nilivyoiacha, naweza sema...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimejaribu kureboot hakuna ,wipe cache hakuna yaani nimeshindwa imenibidi nije kwa wanajukwaa kwa wale wenye utaalam wa ziada naombeni mnisaidie.
0 Reactions
15 Replies
44K Views
Deleted
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Wakuu naomba maproducer wa audio studio ambao ni Wazoefu wa kutumia cubase programu katika kuedit nyimbo baada ya kurekodia. Please ni procedures /hatua gani unatumia ili wimbo utoke vizuri baada...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Kuna simu ya android Kitkat android version 4.4.2 Nahitaji ku upgrade kwenda kwenye better version. Nahitaji kuwa na nin? Madhara au faida nitayo ipata baada ya ku upgrade, MSAADA TAFADHARI...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
eti wakuu,inawezekana nikasikiliza mziki Wa kwenye simu yangu through U.S.B charger kwenye subwoofer? kama inawezekana nifanyeje?yaani kivip
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Za saa hizi wadau, natumia Tecno phantom 6 plus, tokea jana simu inagoma kabisa kuconnect na net ila kwenye watsap tu... ila.nikifanya tethering watsap inafanya kazi poa tuu ... Ila nikiwasha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hebu tujjaribu kushare hili jambo. Nimeshawahi kuona picha na maneno mengi mtandaoni yakisema simu inaweza kukulipukia ukiwa unaongea huku ikiwa kwenye chaji. Mimi kwa uelewa wangu naona vitu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom