simu ganiNimejaribu kureboot hakuna ,wipe cache hakuna yaani nimeshindwa imenibidi nije kwa wanajukwaa kwa wale wenye utaalam wa ziada naombeni mnisaidie.View attachment 501000
simu ina hitaji full flash hiyoVodafone VF695
onana na wataalamu waliopo karibu yakoNifanyeje sasa ili niflash ?
Una idea na software za simu nikuelekeze?Nifanyeje sasa ili niflash ?
tatizo la watanzania kila kitu mnataka kukifanya halafu mkisha kiaribu hatua ya mwisho ndo unapeleka kwa fundi.huta hizima hiyo simu na isiwake tena.nenda kwa wataalamuHakuna njia tofauti na hiyo ? Kwa sababu nina pc yangu mm mkuu
Siyo hivyo mkuu mm nina udhoefu kwa sim ila siyo sana na tatizo linalonisumbua ni moja 2 yaani kuflash kwang ndo shida tu ila kwa maswala mdg mdg ya simu nipo vzr ndo maana nikaomba msaada wenu kama wanajukwaatatizo la watanzania kila kitu mnataka kukifanya halafu mkisha kiaribu hatua ya mwisho ndo unapeleka kwa fundi.huta hizima hiyo simu na isiwake tena.nenda kwa wataalamu
Hapo lazma uwe na box la kuflash hiyo simu ambayo mara nyingi wanakuwa nayo mafundi wa simu upande wa software jaribu kumtafuta fundi akuflashie hiyo simu.Siyo hivyo mkuu mm nina udhoefu kwa sim ila siyo sana na tatizo linalonisumbua ni moja 2 yaani kuflash kwang ndo shida tu ila kwa maswala mdg mdg ya simu nipo vzr ndo maana nikaomba msaada wenu kama wanajukwaa