Jinsi ya Kuanzisha Darasa Kupitia Kwenye Mtandao

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
355
276
Habari wana JF, karibuni tena kwenye makala nyingine kutoka Tanzania Tech leo tunaenda kujifunza jinsi ya kuanzisha darasa kupitia kwenye mtandao bila kutumia gharama zozote zile. Njia hii inafaa kwa watu wote wenye kutaka kutoa elimu kupitia mtandao yaani maana yake ni kwamba hitaji tena kuwa na tovuti bali sasa unaweza kutumia huduma hii bure kabisa.

Kwa kusema hayo moja kwa moja twende tukajifunze njia hii, kumbuka kama kuna mahali ambapo umekwama kwenye hatua yoyote tuambie kupitia kwenye maoni hapo chini.

Njia hii inaweza kutumiwa na walimu wa shule zote za msingi, sekondari, vyuoni na hata walimu wa kawaida wanaofundisha kitu chochote kile kupitia mtandaoni kifupi ni kwamba njia hii ni bora sana na inakupa platform yenye ubora wa hali ya juu kufanya kile unachotaka katika swala zima la kutoa elimu, kizuri zaidi ni bure kabisa! Asante kwa Google.
LINK MAALUM
1. Kujiunga na Google Classroom Hapa Sign in - Google Accounts
2. Kujifunza zaidi kuhusu somo hili (MUHIMU) Bofya Hapa Jinsi ya Kuanzisha Darasa la Mtandaoni na Kualika Wanafunzi
3. Kudownload App ya Google Classroom Kwaajili ya (iOS) Bofya Hapa Google Classroom on the App Store
4. Kudownload App ya Google Classroom kwaajili ya (Android) Bofya Hapa Google Classroom - Android Apps on Google Play
5. Kujiunga na Darasa la Mtandaoni la Tanzania Tech Bofya Hapa Sign in - Google Accounts kisha weka Code Hizi kwenye Join Class usiweke mabano ( dhwz7v )
KWA [HASHTAG]#MAUJANJA[/HASHTAG] ZAIDI YA TEKONLOJIA LIKE NA SUBSCRIBE NA KUSOMA HABARI ZA TEKNOLOJIA KILA SIKU TEMBELEA TOVUTI YA TANZANIA TECH
 
Sawa Mkuu
 
Back
Top Bottom