Jinsi ya kuedit audio

Jun 28, 2014
16
7
Wakuu naomba maproducer wa audio studio ambao ni Wazoefu wa kutumia cubase programu katika kuedit nyimbo baada ya kurekodia. Please ni procedures /hatua gani unatumia ili wimbo utoke vizuri baada ya kuedit
 
Kama una studio au vifaa vya kufanyia iyo kazi nicheki nikufanyie na kukufundisha pia.
PM me ASAP
 
Mkuu audio mustering ni intelligence. Pia ina bidi uwe na sikio.
Sio kinyongeeeeeeeeeee

Inabid uwe na audio interface wengine wanaita sound card kwa ajili ya kupata pure and clean vocal pia uwe na Phantom condenser microphone. Then uwe na PC nzuri. Iwe angalau core i3, i5 au i7 ya 4th generation na ram kama Gb 4 au 6 hiv
Hapo utafurahi
 
Hapo ndio umemchanganya kabisa maana jamaa alikuwa anadhani ni rahisi kama unaedit picha.
 
Cubase ipi mkuu kuwa wazi halafu nadhani unataka kujua mixing na mastering siyo.
Kwa ujumla siyo kazi lahisi. Anyway uko wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom