Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nina sim aina ya huawei ambayo inatumia lain ya tigo only kuna siku nilipeleka kwa fundi ili nipate huduma ya ku unlock ili itumie mitandao yote! Baada ya fundi uyo kushindwa kuitengeneza imekataa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habarini wakuu samahanini kuna tatizo linatokea kwenye simu yangu kuhusiana na picha ninazo save kwenye Gallery zinaharibika kama kuliwa na virus ivi yaani unaweza kukuta picha inaonekana nusu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu hbr za mida, kuna mtu anaomba ushauri wa manunuzi kati ya hizi PC hp probook 6555b Internal storage 230gb RAM 2GB Tsh 180000/= Acer Internal storage 300gb RAM 4GB Tsh 300000/=
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu kwema? Naomba kuelimishwa kidogo. Katika gari unaweza kubadilisha mfumo wa umeme kama betri ilikuwa n50 unaweza kutumia n90 na katika diff au engine unaweza kubadilisha,hat katika computer...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama maada inavyosema mie nina simu yangu Huawei ascend G7 ilikua ikionyesha pindi nikidownload sijui niliigusa wapi mpaka sasa haionyeshi tena lakini downloads inafanya kama kawaida tatzo...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Nilikuwa ninalo hili folder la picture za baadhi ya simu zilizovuma miaka hiyo. kila nikizitazama ninafarijika na technolojia ya mobile phone ilipotoka hadi ilipofikia. Nashindwa kuzi Upload...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wadau naomba kuelekeza kwa anaejua ku hide IP adress nmekuwa nkidowloads softewares, series kwenye website za torrents kama Pirates bay, extratorrents ila kwa sasa siwez inanambia n hide Ip...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
What should I do?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habarini.....Wakuu nina TV star X inch 32,nina sabufa Pinetech,nina king'amuzi cha Dstv......sasa nataka niunganishe hivi vitu 3 kwa pamoja means niwe naona kwenye TV kwa king'amuzi changu na...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Nina simu aina ya Tecno H7 Ambayo imepoteza network baada ya software yake kuharibika hata Ku_reset inakataa sasa hv naomba msaada wenu nn cha kufanya
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomben Masaada kwa anayejua simu Sony expiria z5 ubora wake
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Baada ya kufanya utafiti wa kukufanya taarifa za Makampuni nchini, nimeamua kuwaletea orodha ya Makampuni nchini kwa gharama nafuu. Orodha Ina Makampuni 120000 Tanzania. Orodha Ina:- Jina la...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu, Kwa wenye simu ya Nokia window phones...ni mwezi sasa siwezi kuangalia video iliyipostiwa instagram..maana ikifungua insta then post ikiwa ni video basi simu itajiondoa kwenye insta na...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Msaada wadau. Najaribu kufungua email address yangu lakini nashindwa kwa sababu sina simcard niliyoitumia kuregister kwenye hii email address. Nikisign in, nafika sehem natakiwa kuingiza baadhi ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni msaada. Nimefanya nimefanya factory reset kwenye simu bila kujua consequence zake. Kuna namba za phone book na few msg muhimu, ni namna gani naweza zipata? Natanguliza shukrani zangu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tatizo la samsung galaxy A5 kioo kubadilika rangi pindi unapokua umepress powerkey kuwasha mwanga na kuona rangi imekua kama kioo kimearibika. Kisha unapoweka lock tena na kutoa kioo kinarudi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF nimeona leo bora niseek for help maana kila kukicha hapa TZ kuna ibuka aina lukuki ya vilainishi vya magari mpaka sie wenye mahitajio hayo tunachanganyikiwa.mimi huwaga natumiaga...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
habari wakuu.. nnashidah na account ya account ya adsense... kama ipo tubonge inbox
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za mda huu wakuu kuna vitu nilikua nahitaji kujifunza kupitia kwenu au hata kujifunza pia.Nahitaji kua design wa matangazo ya picha na video pia kwa yeyote mwenye msaada wa wapi kwa kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
607 Views
Wataalamu naomba nisaidiwe nina memory card yangu yenye vitu vyangu vya muhimu sana kila nikijaribu kuvitoa au kuviedit au kufuta naletewa ujumbe huu(write protected) nifanyenyeje kui recover sd...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom