Jamii Forums, Kilongwe amerejea

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
116
Dah, nilikaa nje ya Jamii Forums na Jukwaa la Teknolojia kwa muda, nimemiss mengi sana. Jamii Forums imeendelea kuwa sehemu ya kujifunza na kuelimisha vilevile kama nilivyoiacha, naweza sema imeendelea kuimarikazaidi na zaidi.

Kilongwe amepata hamasa sasa kurejea na kushirikiana na wadau kwenye hii nyanja.

Nimerudi. Viva JF
 
Back
Top Bottom