Kwa aliyenunua magnus bravo z10

Kwa aliyenunua magnus bravo z10

Iko vizuri mkuu.. Nilimchukulia dogo juzi duka airtel buguruni... Nilienda mlimani city wakadai zimeisha.. Zinauzwa sana.. Naona Dogo ana enjoy na anadai kwenye charge iko vzr, 4GB internal memory,, 75,000 tuu
 
kama kweli inauzwa 75,000 sio mbaya

Android 4.4
4 Display
Dual Sim
2 MP Rear Camera and 0.3 MP front camera
1.0 Ghz Dual core
3G Wifi
4 GB ROM, 512 MB RAM, storage extendable upto 32 Gb
1400 mAh Battery

sidhani kama utaweza kuulizia ubora kwa bei hio, usitegemee chochote kizuri hapo kwa ram ya 512mb na android. kama una uwezo zaidi tafuta yenye atleast 1gb ram
 
kama kweli inauzwa 75,000 sio mbaya

Android 4.4
4 Display
Dual Sim
2 MP Rear Camera and 0.3 MP front camera
1.0 Ghz Dual core
3G Wifi
4 GB ROM, 512 MB RAM, storage extendable upto 32 Gb
1400 mAh Battery

sidhani kama utaweza kuulizia ubora kwa bei hio, usitegemee chochote kizuri hapo kwa ram ya 512mb na android. kama una uwezo zaidi tafuta yenye atleast 1gb ram

Mbona hujamalizia na chip ni mediatek au?
 
Wamepandisha bei tena,hizi simu zinauzwa 85,000 kwa sasa kutoka ile 75,000 inaonekana zinagombaniwa hizi Magnus Z10.Nimepanga nikamchukulie Bi.Mdashi nae asmartphonike.
 
maziwa ya azam nilikua nanua 700 juzi nimeenda dukan nimeambiwa 800
 
Hiyo siku nilishawahi kuGoogle specs zake hadi nikachoka. Ni Kama sio popular
 
ymollel Sio siri ushamba ni mzigo, yani kweli kuna mtu ataenda kununua hizo specs kwa 85k?....Bure kabisa!!!
Ni wakati ufike sasa TCRA waone unyonyaji wa dhahiri tunaofanyiwa na haya makampuni ya simu, i also wonder kama hio simu ukinunua dubai inazidi elfu ishirini za kibongo..Its the most inferior smartphone that i ever seen in my entire life...Lord have mercy!!!
 
Nimeombwa hapa nimsaidie mtu kurekebisha hii simu Magnus bravoz10 ina tatizo la Touch, ukigusa 0 inaandika *. Any solution?
 
Back
Top Bottom