Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wana Jf naomba msaada wa kupata keyboard tajwa hapo juu,yangu iliingia maji ikapiga shoti.
0 Reactions
3 Replies
852 Views
Jukwaani tafadhali nawaomba nisaidieni namna ya kuzuia mtu asinipigie kwenye mwito wa simu wa kawaida. Upande wa WhatsApp sina tatizo napo, lakini mwito wa kawaida wa simu sifahamu hatua...
2 Reactions
76 Replies
15K Views
Wadau tushirikishane mawazo katika hili. Nimekutana nalo katika matumizi ya App moja ikaweza kunionesha matumizi ya kila Application niliyoinstall katika simu yangu na ikaweza kunionyesha kila...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Branding & 2d na 3d animation Kwa tanzania je inatoa ki maisha ? Maana nimeuliza wengi wanasema kwa east afrika kenya inawatoa wengi je wale wanao fanya fani hii hapa tanzania wananufaika vipi?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi nikitaka eneo flani liweze kuonekana kweny google map nafanyaje? Mfano nyumba au mtaa then mtu akisearch kwenye google map anaiona hyo nyumba au mtaa. Msaada wenu wadau
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Naomba wanajamvi mnisaidie kujua jinsi ya kuroot simu ya Tecno N8. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wakuu, Laptop yangu aina ya acer aspire e3-111 yenye windows 7 x64 na speaker za Realtek; ilianza tatizo la kutotoa sauti, hata nikichomeka earphone sauti haitoki. Nimeinstall latest audio...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari mafundi Nina simu yangu Nokia Lumia 525 inatatizo la kuto peleka chaji ILA uki zima sim alafu ukachomeka chaji inawaka ikimanisha inqingiza chaji ila ukisha waka haipeleki chaji na hata...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Blog yangu ina siku 10 je naweza pata google adsence
0 Reactions
4 Replies
839 Views
By Andrey Arkusha / Global Look Press ULAYA na AMERIKA: Mmiliki wa tovuti yenye maudhui ya ngono kwa watoto afungwa miaka 30 jela. Watembeleaji takribani 900 wakamatwa. Kwa mujibu wa FBI watu...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Naombeni msaada nimeshidwa kujiunga naPaypal.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I am Tanzanian based in Dar es salaam and holding degree in Economics. I have experience in quantitave and qualitative research as well as data entering using SPSS, STATA, Epi Data & Ms. Excel...
0 Reactions
3 Replies
841 Views
Mimi ni kijana nina elimu ya kidato cha sita kwa ufaulu div 1 ya 9 PCB ila nilikosa mkopo mwaka jana (2016) nikiwa mwaka wa kwanza hivyo nikasitisha chuo naomba msaada niweze endelea na masomo...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hivi hii app ya MStz ni genuine au ni utapeli tu unaokuja kwa sura ya mficho. Kuingia tu unaombwa kulipa 45,000 elfu. Wanadai eti ina uwezo wa kuhack sms za mtu bila kujua. Nisadieni hapo..
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Niliwahi kuona uzi wa mtu akiulizia kuhusu hili la hizi decoder zinazouzwa mitandaoni kule ebay na aliexpress Nami kutokana na kuchoka kulipia mpaka hizi local channel nikaona isiwe tabu...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Naomba mnijuze jinsi ya kuhamishia app za simu kwenda kwnye google drive
0 Reactions
2 Replies
612 Views
Kuna tatizo tokea kwenye pc baada ya kufuta partition yenye linux kwenye 'disk management' na kuibakisha main OS ambayo windows 10. Sasa kila nikiwasha pc inanipeleka kwenye grub rescue...
0 Reactions
1 Replies
599 Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu ,natakiwa nichague simu moja kati ya hizo 3 sasa ndo niko confused Msaada wenu wakuu wazee tech&gadgets Nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mwenye app ya photo editting kama vile adobe photoshop na zinginezo aniwekee apa
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Nimeinyaka kwa group letu la whatsap nikaona si vibaya tukashare na wana.
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom