Simu yangu inakataa kuconect waysap

lemutunguz

Member
Nov 15, 2016
51
51
Za saa hizi wadau,
natumia Tecno phantom 6 plus, tokea jana simu inagoma kabisa kuconnect na net ila kwenye watsap tu... ila.nikifanya tethering watsap inafanya kazi poa tuu ...

Ila nikiwasha data kila kitu kiko poa whatsap inaniandikia you may have new messages lakin msg haziingii..nimejaribu ku-unstall na kuinstall upya ila wapi... naombeni ushauri.
 
mkuu Tecno sio simu ya kutumia na hayo ndio matatizo yake.

Cha kufanya mpe mwanao achezee
 
Back
Top Bottom