chiumbimnungu
Senior Member
- Mar 25, 2017
- 151
- 217
Hebu tujjaribu kushare hili jambo. Nimeshawahi kuona picha na maneno mengi mtandaoni yakisema simu inaweza kukulipukia ukiwa unaongea huku ikiwa kwenye chaji. Mimi kwa uelewa wangu naona vitu vinavyoweza kulipuka ni vile vyenye labda kapasta kubwa ndani. Vyenye asili ya gesi ndani kwa mfumo wa simu ndani sijaona MNA yoyote ambayo inawezekana kulipuka. Labda wale wenzangu wenye utalaam wa vitu vya electronic nini kwenye simu kinachoweza kufanya ikalipuka? Au ndio hadithi ya ukiona mvua inanyesha na jua linawaka simba anazaa???