Kwanini simu yangu haipandishi 4G?

Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,720
1,639
Habari,

Nina shida kidogo wazee, nina Samsung s5 original na Samsung J7 original cha kushangaza zote hazipandishi 4G. Nimejaribu kurekebisha APN ila hakuna lolote. Nikipiga simu halotel customer Care inakata.Nipo mjini tena nje ya mnara.
 
Nadhani Halotel hawana huduma ya 4G.....mbali na Halotel mtandao gani mwingine una tumia kwa hizo simu?
 
Angalia setting za simu zako kama zimeruhusu simu kupokea huduma hiyo. Inawezeka ikawa umeset vibaya(simu kupokea Hspa) kama huwezi kurekebisha hizo setting tafuta mtu anayejua
 
Habari nina shida kidogo wazee, nina Samsung s5 original na Samsung J7 original cha kushangaza zote hazipandishi 4G! Nimejaribu kurekebisha APN ila hakuna lolote! Nikipiga simu halotel customer Care inakata! Nipo mjini tena nje ya mnara!

Ifukize hio sim ktk Chetezo kwa Ubani maka.uone
Itapanda hadi Majinni wacha 4G tu,Mkuu
 
mkuu halotel hawana 4G, na angalia simu simu yako kama kwenye setting kama ina support hiyo huduma. pia 4G ni kwa baadhi ya mikoa tu.
 
Jamani natumia bravo 11 lakini nikiweka line ya tigo haipabdishi data likini network yakawaida inapanda nakuwasiliana shida haipandishi internet
 
Habari,

Nina shida kidogo wazee, nina Samsung s5 original na Samsung J7 original cha kushangaza zote hazipandishi 4G. Nimejaribu kurekebisha APN ila hakuna lolote. Nikipiga simu halotel customer Care inakata.Nipo mjini tena nje ya mnara.
model gani
 
Pole..
Je provider wako anatoa huduma ya 4G? aina ya network kwenye settings ipo kwenye network mode unachagua :LTE/GSM/AUTO
 
Back
Top Bottom