WATAALMU WA SOFTWARE PITENI KIDOGO MTOE MSAADA

20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
8,147
7,128
Kuna simu ya android Kitkat android version 4.4.2

Nahitaji ku upgrade kwenda kwenye better version.


Nahitaji kuwa na nin?
Madhara au faida nitayo ipata baada ya ku upgrade,

MSAADA TAFADHARI...
Screenshot_2017-05-02-13-07-25.png
 
duh!! bado upo 4.4.2? angalia vizuri simu yako, kuna uwezekano haina upgrade zaidi. Tafuta 'wifi' na nenda kwenye setting/ about device/upgrade angalia kama kuna upgrade kama ipo let it proceeds.
 
Mkuu kuna aina mbili ya ku upgrade

1. Ni kwa update original ya simu
2. Custom roms
 
Check kwanza lg g3 ina update hadi ya version ya ngap. Ukishapata bas njoo tukuelekeze jinsibya kuinstall manually tena kwa custom au stock recovery...
 
Check kwanza lg g3 ina update hadi ya version ya ngap. Ukishapata bas njoo tukuelekeze jinsibya kuinstall manually tena kwa custom au stock recovery...
Nikienda kwenye setting wanasema. simu yangu ipo. Update. Hakuna kipya so nikaona nibandike hapa nipate mwongozo
 
LG IMEI CHECK SERVICE

worldwide blacklist status included

[Hébergement Internet, Cloud, et Serveurs dédiés - OVH]

Check information about your LG cell phone - model, serial number, manufacture date. Verify LG carrier, age of the phone, purchase country, CSN number and other details.All LG models are supported - check IMEI of your Nexus 5X, LG V10, G3, G4, Nexus 5, Nexus 4 and other mobile phones.Use our checker before buying used or new LG smartphone.Make sure the IMEI/ESN number of your LG phone is clean and valid.
 
Still. Sija pata ufafanuzi.

Wajuzi mukuje hapa tafadhariiii..@Njunwa
khalfan n others
 
LG D850 — AT&T(U.S.)
LG D851 — T-Mobile US
LG LS990 — Sprint (U.S.)
LG VS985 — Verizon Wireless (U.S.)
LG US990 — U.S. Celluar (U.S.)
LG AS985 — other regional Carrier (US).

LG F400L/K/S — South Korea
LG D852 — Bell Mobility and Rogers Wireless (Canada)
LG D852G –VIDEOTRON (Canada)
LG D855 — Europe, CIS, Taiwan, Hongkong and other Asian countries.
LG-D855AR — Argentina CLARO
LG-D855P — Mexico,Panama,South America
LG-D855K — TELSTRA (Australia)
LG-D855TR — Turkey
LG D858 — CHNIA MOBILE_LTE
LG-D859– CHINA_TELECOM_LTE

Ya kwako ni ipi hapo
 
Wataalamu hebu nisaidieni na mm,laptop yangu ni acer leo nimejaribu kuiwasha ikatoa black screen na maandishi ya mwisho yakisomeka hv "os not found ". Tatizo linaweza kuwa ni Nn? Na make sio ya gharama za matengenezo yake inaweza kuwa kiasi gani kwa tshs?
 
LG D850 — AT&T(U.S.)
LG D851 — T-Mobile US
LG LS990 — Sprint (U.S.)
LG VS985 — Verizon Wireless (U.S.)
LG US990 — U.S. Celluar (U.S.)
LG AS985 — other regional Carrier (US).

LG F400L/K/S — South Korea
LG D852 — Bell Mobility and Rogers Wireless (Canada)
LG D852G –VIDEOTRON (Canada)
LG D855 — Europe, CIS, Taiwan, Hongkong and other Asian countries.
LG-D855AR — Argentina CLARO
LG-D855P — Mexico,Panama,South America
LG-D855K — TELSTRA (Australia)
LG-D855TR — Turkey
LG D858 — CHNIA MOBILE_LTE
LG-D859– CHINA_TELECOM_LTE

Ya kwako ni ipi hapo
LG D855
IMG-20170502-WA0020.jpg
 
Back
Top Bottom