Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,977
Habari zenu wakuu. Ninapata shida kwa siku ya pili sasa, whatsapp nashindwa kabisa kuingia. Internet inasoma H+ 200Kbs per second, ila nikiingia whatsapp tu inashuka hadi 0 na nashindwa kutuma wala kupokea chochote. Naomba msaada kwa mwenye suluhu ya hili. Natumia TECNO W3.
Ahsanteni sana
Ahsanteni sana