Utambuzi wa Samsung orijino

Kuongezea Kwenye Point ya Alibakari, Ukweli ni kwamba unatakiwa kuwa muangalifu sana watengenezaji wa simu feki wameshajua kuwa watu wengi wanangalia simu fake kwa kutumia code hizo hivyo zipo simu fake zenye kuonyesha code hizo lakini kwa kuangalia tu kwa macho yako pamoja na kuongezea na test alizotaja Alibakari unaweza kupata simu original.
fake na orignal samsung.png

Kwa mfano ukiangalia kwenye picha hapo juu utaona utafauti ambao unaweza kuona kwa haraka kwa kuangalia namba zilizo wekwa kwenye picha.

1. Kioo kinakuwa na mwanga hafifu na kinakuwa kimetengenezwa kwa plastick au glass ya bei rahisi.
2. Upana wa kutoka kioo mpaka ukingo kwenye simu feki unakuwa ni mkubwa sana
3. Kioo kinakuwa akina mwanga wa kuosha au kinakuwa na mwanga hafifu
4. Utakuta kuna baadhi ya Sensor ambazo hazifany kazi (hivyo ni vizuri kufuata hatua za alibakari ili kujua kama senseor zote zinafanya kazi)
5. Kibonyezo cha katikati (home botton) kwenye simu feki kinakuwa hakiko mahali kinapotakiwa
6. Logo ya samsung unapoigusa kwa kidole kwenye simu feki utaisikia kabisa ikikwaruza kidole yani haitakuwa smooth

Hayo tu ni machache ni vyema kuwa makini kwani njia hizi sio kwamba ndio zinaonyesha moja kwa moja hivyo ni vyema kuwa makini. Pia unaweza kuingia kwenye ukurasa huu wa TCRA kisah weka imei namba na utapata jina la simu kama itakuletea tofauti basi hiyo simu ni feki.

NATUMAINI ITAKUWA IMEKUSAIDIA
 
Ahsante kwa nyongeza
 
Mkuu mimi natumia Note 3, sasa nkiangalia izo picha mbili nmeona baadh ya sign bas
 
Njia Rahisi kutambua hizi Simu kwa mtu asiyekua na Uelewa nazo

-Camera Quality
-Uzito wa Simu Wanavyotoa Simu Makampuni kama SAMSUNG, Apple Simu zao huwa zina Uzito Maalum.
Utahitaji Mizani Midogo kupima gram zake

Narudia Samsung ni very hard kuzitambua Mimi niliona Clone Moja Daah ina Gorillar Screen kabisa nikaja kugundua kwenye Uzito na Ubora wa Camera na Samsung Zilizotengenezwa Malaysia au Korea ndo Original

Epuka Simu Iliyoandika Made by Samsung.
 
*#0011#, hyo ni SERVICE MODE na hakuna cmu ya kichina inayosupport service mode... bt hata kwa kuangalia samsung copy na original unaweza kuzitambua. camera quality, startup logo.. na utakapo connect cmu yako kwenye Pc angalia ni drivers zipi itakuwa ina install
 
download application ya cpu z then angalia hardware zake halafu compare na official hardware ambazo wamezieka kwenye specification.
nilidownload na nilipolinganisha sehem zote ikawa inaeka tiki. Maana yake nin apo mkuu ?
 
Back
Top Bottom