Natafuta simu

Billcash

Member
Nov 4, 2016
86
44
Aina ya Xiaomi, Samsung, Lenovo au Oppo. Iwe na internal memory 16 hadi 32 Gb, Ram kuanzia 1gb, ukubwa wa skrini uwe at least 5.5 na kuendelea. Nina 220k. Picha muhimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom