Hdmi to Vga cable wapi Nawezaa pata.

KVD (Roundabout ya Billicanas) au Capricorn (Karibu na DSTV roundabout).
HDMI ni digital VGA ni analog so hizi cable zinakuwa zina converter ndani yake ambayo mara nyingine inaleta shida unaweza ukakuta rangi/picha zinaharibika.
Kama hauna haraka aliexpress.com utaokoa bei kama x3 au zaidi.
 
Nipo Ukonga dar es salaam
Mkuu ninazo mbili, mpya kabisa, nilinunua kwa matumizi yangu but sikutumia, moja ipo kwenye package yake kabisa nyingine haipo kwenye package, nicheck watsapp 0745657885.. Tufanye biashara, nitakuletea ulipo.
 
Back
Top Bottom