inawezekana kweli?

Makuku Rey

JF-Expert Member
Dec 31, 2013
3,464
3,758
eti wakuu,inawezekana nikasikiliza mziki Wa kwenye simu yangu through U.S.B charger kwenye subwoofer?

kama inawezekana nifanyeje?yaani kivip
 
Subwoofer zote nilizokutana nazo niliona zinaishia kuichaji tu simu. Labda kwakua ni za 50k mpaka 80k ngoja tuone majibu ya wegine.

Ilikua nachomeka waya wa charger kwenye subwoofer na kwenye simu.
 
Mmmh sidhani..mimi nilikuwa nasikiliza kwa kupitia Bluetooth ya simu na ya Subwoofer!
 
Labda utumie 2in1 ili kuskiliza maziki ila hiyo unayosema sizan ila sina uhakika na hili huenda kuna sabwoofer zenye uwezo zaidi
 
Mkuu labda utumie kuchomeka ule waya wa subwoofer kwenye earphone ya simu yako. Lakini usb mass storage naona huwa haisomi kwa subwoofer.
 
haiwezekan kwasababu subwoofer nyingi hasa hizi za kichina mfumo wake wa kusoma usb ni wa moja kwa moja yaani kama unachomeka flash pale au memory card kupitia card reader basi subwoofer ile ina connect moja kwa moja kupitia njia nne ambazo ni +vcc, gnd clock na data.

hivyo simu mara nyingi ukikonect ktk vifaa kama vile computer au baadhi ya dvd kunakuwa na option ya kuruhusu mass storage itumike yaani memory. sasa subwoofer hazina option hiyo ya kuifanya simu ikuletee sehemu ya kuruhusu mass storage

cha kufanya tafuta waya wa audio utoe sauti kutoka kwenye simu iingie kwenye subwoofer kupitia audio input then badilisha input ktk subwoofer yako mpaka utakapo fika katika input ulio ingizia audio
 
Back
Top Bottom