Apple yafungua AppStore Tanzania
Bendera ya Tanzania, chini kulia ikithibitisha kuwa hii ni Appstore ya Tanzania
Kwa muda mrefu sasa tumepunguza kasi ya kuandika makala mpya kwa...
E.A COMBINED • View topic - ANONYMOUS HACKERS arrested!??
More than a dozen individuals believed to be linked to the hacktivist collective Anonymous were arrested this morning in a sting...
Habari ya wkend wakuu?
Ninatumia simu aina ya samsung A877 AT&T
Sasa nimejiunga na hii huduma ya Dstv mobile,lakini huduma hii siipati vizuri inaonyesha hizi TV kwa shida sana inakatika mno...
Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu ufanyaji kazi wa hivi vitu naona kama zinafanana.kwamba kila kimojawapo inawezekana kinatumiwa mawasiliano ya kipekee na provider wa huduma tofauti na matangazo...
Kuanzia siku tatu zilizopita nimekuwa nikipokea emails za ajabu ajabu toka kwa ndugu na marafiki wanaotumia Yahoo. Wao wanasema hawajatuma hizo messages. Inaonyesha labda password zao zimekuwa...
As of today, this monitor is now officially revealed by the company re-branded as "Apple Thunderbolt Display".
On a nutshell, this device works just like any other monitor but of course, it has...
habari za j,pili ya leo wana jf.natumai mpo salama kwa uwezo wake yeye aliye tuumba.jamani mimi flash disc yangu imekumbwa na tatizo hili.
msaada wenu tafwadhari.
Source: E.A COMBINED • View topic - Fake Apple Store spotted in China
Fake Apple Store spotted in China
Fake Apple Store with fаke Apple products wаs spоtted in China...
Habari ya J3 wakuu.
Nahitaji Battery ya Lenovo N200 haraka iwezekanavyo. Kama unayo, au kuna mdau unamfahamu anayo tafadhali tuwasiliane.
Ukini-PM inakuwa vizuri pia.
Asante.
Wakuu naombeni msaada, CD-ROM ya computer yangu haisomi CD ya aina yoyote. It happened kwamba mtu aliweka DVD chafu, then from there hafanyi kazi.
Ukiweka CD inarespond kama kawaida, taa inawaka...
Wadau samahanini mie nnataka kuelewa kuwa hivi kwa jinsi marumaru(usually small white blocks) zilivyoundwa material zake za kutereza sasa mbona nazo pamoja na kuziosha mara kwa mara zinashika...
Hellow,
Jinsi ya kudownload Free Application From Ovistore to ur PC ni rahisi sana na haiitaji ku Hack wala nini!!!
Wengine watasema kwann udownload kwa PC, Jibu ni kwamba sometime kudownload...
Salaam zenu wana JF ...
Nina wazo .. since kuna facebook APPS, Twiter Apps .. etcl
wataalam hili jukwaa naona mnafanya kazi nzuri sana kwa kutoa majibu kwa wale wote wnye matatizo bila kejeli...
Katika pitapita yangu nimemkuta kijana anauza moderm ya ZTE nodel no. AC8710, binafsi sina ujuzi wowote wa kuitumia kwani nimejaribu kuistal kwenye machine yangu naona haifanyi kazi naomba msaada...
Wakuu habari za kazi,poleni na majukumu.
Naombeni msaada kuhusu simu yangu naona imenigomea kimtindo
gafla tu nashangaa imeniandikia phone restricted,sasa ukibonyeza Undo Inaniambia ni enter...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.