msaada Burn Data CD | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada Burn Data CD

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Viper, Jul 9, 2011.

 1. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  jamani kila nikijaribu ku burn CD R , mwisho natapata msg kuwa burning went successfully lakini nikirejea kwenye CD ni empty nikijaribu kuifungua window inaniambia ni format.

  Nimetumia Nero mambo ni yaleyale tatizo ni nini...?

  naumia window 7 ultimate 32 bits service park 1
  version number 6.1.7601 multiprocessor free

  Processor info. Intel (R) Celeron (R) CPU 520 @ 1.60GHz
  RAM 1.50 gb

  hp (compaq) presario c 500

  N;B- naweza kusoma CD, DVD`s kama kawaida .. tatizo ni kwenye ku burn tu! msaada wenu
   
 2. alexmahone

  alexmahone JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  ......pole sana.,
   
 3. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Chunguza kama dvd ROM yako ina mechanism ya kubani kwakuwa si kila dvd rom inaweza kufanya kazi hiyo
  Pili nero ipi unatumia? Inawezekana tatizo liko kwenye nero maana naona computer yako si mbaya sana
  Tatu Uninstall na uinstall tena hiyo nero, nero 6 na 7 ni nzuri sana
  Nne ni vyema ueleze cd unaiburn kama nini (mp3, data, vcd, audio cd, pictures nk)
  Mimi nina manero ya kumwaga sema tu namna ya kukuattachia ndo ina kuwa issue
   
 4. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,721
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kama alivyosema mkuu ni sawa ila kwenye hiyo nero angalia kitu kinachoitwa image burning kama ukikiona kibadili na option inayofuata.
   
 5. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Untitled.jpg
  Ebu angalia proparties zake kama ni nero ambayo si 7 au 6 huwa zinazingua sana. Pia kuwa makini na selection ya data unayoingiza kwenye cd husika. Lingine na aina ya cd inamata sana. Kuna za Kichina kinoma kaka. Ukienda kariakoo unapigwa tu. Afu angalia kama hiyo cd ni + au -.
   
 6. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  what is the difference btn cd + and -
   
 7. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  1) wakati nipo na window Vista nilikuwa niki burn kama kawaida

  2) natumia nero 7 premium edition

  3) ndiyo ninayo tumia

  4) na burn data CD

  5) Ahsante mimi pia ninazo

  P.S nimejaribu ku burn music kutumia window media player matokeo ni yaleyale... CD inamaliza inajitoa kuonesha process completed successfully nikiingiza inasoma empty! hamna kitu ndani
   
 8. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  ni sony CD- R kwenye computer ya rafikiyangu ina burn kama kawaida
   
 9. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #9
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
 10. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
 11. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ebu fanya backup ya data zako na uondoe hiyo OS maana itakuwa haiko sawa, au ifnyie repair mkuu.
   
Loading...