Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,260 Jul 11, 2011 #1 Nimepakua sana wkend hii hadi mtandao umesuasua isivyo kawaida. Kuna uzi niliusoma humu unahusu nini cha kufanya kurudisha kasi ya net. Msaada plz
Nimepakua sana wkend hii hadi mtandao umesuasua isivyo kawaida. Kuna uzi niliusoma humu unahusu nini cha kufanya kurudisha kasi ya net. Msaada plz