Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu nimesoma soma mtandaoni kuna gazeti huko majuu UK limesababisha mjadala mkubwa baada ya kuonekaa stye yake ya kutafuta data na taarifa mbali mbali ilikuwa ni kupitia hacking Voice message...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF Kuna application ya chat naitumia ya Mxit kwenye simu yangu ya blackberry. Inapatikana kwa simu zingine pia. Blackberry messenger naona inabagua wenye simu hizo tu. Lakini mxit ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jamii habari niliwahi kutengeza blogspot yangu na ikafanikiwa kuwa hewani ila nataka nibadili jina lake namaanisha labda something.blogspot.com liwe jina lingine plz naomba msaada wenu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hallo wana-jf,<br>in two months time ninaweza nikapata kalikizo cha kama 5 wix ivi na ningependa m2 expert wa web-designing atakeyependa kuniongezea ujuzi kwa huo muda,please reply if any.nice day
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hii ni single page album app, ambayo unaweza kuappload and kuangalia picha kwenye secreen. Coding for fun, so ukiweza improve it then share it. I am doing the same too.
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Jaman jaman,hv been taking my time kufwatilia hilo swala. Am using Nokia 5800 xpress music. Fwatisha maelezo ya fuatayo kwa makini sana. 1. Ikia kwny link hii nokiasymbianthemes.com/explore/...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani samahani wakuu naweza vp kutumia sim kama modem kwenye computer kwa kutumia bruetooth na je operation yake inakuaje?
0 Reactions
1 Replies
856 Views
Imagine being caught in a thunderstorm as wide as the Earth with discharges of lightning 10,000 times more powerful than normal, flashing 10 times per second at its peak. Now imagine that this...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Wakuu naomba msaada nawezaje kupata channel ya E-TV ambayo imekuwa locked kwenye dish. Swali hilo hilo pia kwenye king'amuzi cha Startimes kwa ajili ya Channel Na.49 (TEST). Channel hizi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau nina shida mbili yakwanza niliformat computa kwakutumia external cd rom,ss nikainstall window upya lkn ss kila nikiwasha inaniandika A DISC READ ERROR OCCURED PRESS CNTRL+ALT+DEL,TO...
0 Reactions
3 Replies
902 Views
Ninayo flash ambayo kwa bahati mbaya inaonekana inawaka lakini haionekani kwenye drives za my computer. Nawezaje kuirudishia uhai ili niione kwenye computer? nahisi software yake itakuwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Muendelezo wa chanel zetu za bureeee kwa wale wapenda soka na michezo super sport blitz ipo kwa ajili yako copy link hii...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
:mod:jamani wanafamilia habari za mida...poleni sana na majukumu ya kila siku...sasa familia me sasa ni zaidi ya miezi sita kam sio saba kwenye laptop yangu kuna virus uyo anakula desktop icon...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Source: The Guardian (sio letu) Evangelical Christians in Brazil have apparently banned the use of USB connections after claiming the technology is the mark of Satan-worshippers (Hat tip...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nimejaribu kufungua Word document kwenye Word 2007 na kupata message hiyo hapo juu! Nimesoma online solution lakiki sijafanikiwa. Jamani nipeni idea maana siwezi kufungua document (CV) na kuedit...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Vipi j.f mpo programmers wa ku develop android mobile applications? Nimekuwa impressed na kenyans ambao wana contests za kudevelop android apps hostes by google, nilikutana na chalii mmoja...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu jamvini naomba yoyote aliyebahatika kupewa invite na kutumia google + anipe invitation na mimi. Tafadhali ni-pm nitakupatia email yangu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, nina Ipod yangu ambayo hai-display, kwenye screen inawaka rangi nyeupe tu. Ila mziki inapiga. Niliogopa kupeleka kwa mafund hawa uchwara wacje wakaiua kabisa. Msaada wenu, mnaweza nielekeza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yap habari zenyu people hv wajameni mie kwa ujuzi wangu nafaham kuwa kuna mitandao ya GSM and CDMA ambapo GSM kuna tigo, airtel, voda ambapo wana GPRS/EDGE and 3G networks, pia zantel ipo lakini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naitumia kwenye tarakilishi yangu. Siku nimefyonza kabrasha fulani nikaenda kuprint sehem fulani. Narudi na kuichomeka inanihitaji ku scan. Ile kumaliza scan na taarifa zangu zote muhimu zimefutwa...
0 Reactions
15 Replies
762 Views
Back
Top Bottom