Inajizima yenyewe... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inajizima yenyewe...

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mentor, Jul 11, 2011.

 1. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,699
  Likes Received: 8,238
  Trophy Points: 280
  Wadau,
  komputer yangu inaleta shida kidogo hapa.
  Nikiichomeka kwenye charger ikiwa imezimwa inawaka kitaa kwamba inacharge-na inakuwa inacharge kweli.
  \Tatizo nikiiwasha, inaacha kucharge so baada ya mda mfupi wa kuitumia inazimika.
  Nikijaribu kuitumia bial batery yake ndo haiwaki kazisa kwani
  licha ya kale kataa cha pale power cable inapoingilia kuwaka haioneshi kama inaingiza charge kabisa.
  Nimeshindwa kujua tatizo lipo kwenye power cable, umeme mdogo unaoingia ama ni internal problem kwenye power system ya computer.
  Tafadhali msaada wenu...
   
Loading...