Microsoft SQL server

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,107
2,506
Habari za weekend? Jamani kuna mdogo wangu anatafuta software ya Microsoft SQL server kwa ajili ya project chuoni anasoma masomo ya IT. Kaniambia mwanzoni walitumia Oracle lkn imewazingua yeye na wenzake so hawakufanikiwa chochote. So please kama kuna yeyote mwenye software ya Oracle 10g na Microsoft SQL server au dataware house software yeyote itakuwa poa sana, nitashukuru sana akinipatia ikiwezekana hata kwa kuburn ili mdogo wangu afanikiwe katika masomo yake.Natanguliza shukrani.
 
Kama ni project tu, wanaweza kudownlaod Express version ambayo ni bure kutoka Microsoft.
 
Habari za weekend? Jamani kuna mdogo wangu anatafuta software ya Microsoft SQL server kwa ajili ya project chuoni anasoma masomo ya IT. Kaniambia mwanzoni walitumia Oracle lkn imewazingua yeye na wenzake so hawakufanikiwa chochote. So please kama kuna yeyote mwenye software ya Oracle 10g na Microsoft SQL server au dataware house software yeyote itakuwa poa sana, nitashukuru sana akinipatia ikiwezekana hata kwa kuburn ili mdogo wangu afanikiwe katika masomo yake.Natanguliza shukrani.

Kwani yeye anajua application gani zaidi kati ya oracle na SQL server.
.Maana kama ni project ni bora afanye kitu ambacho ana idea nacho. na kwa wanafuzi wa chuo wengi SQL server ndio jibu. tena akidowload Visual studio all in one ( Free Developer Tools - Visual Studio 2010 Express | Microsoft Visual Studio) ukijumlisha na SQL server2008 express ( http://www.microsoft.com/sqlserver/en/us/editions/express.aspx ) basi anakuwa na mazingira kamili kamili kwa ajili kuendelea na project yake

Kama ni ushauri wangu mwanafuzi ningemwambia aachane na mambo ya oracle kwenye project. tena kama ni hapa bongo. Few support resources na articles.

Unless wanataka kujifunza the hard way
 
Kwani yeye anajua application gani zaidi kati ya oracle na SQL server..Maana kama ni project ni bora afanye kitu ambacho ana idea nacho. na kwa wanafuzi wa chuo wengi SQL server ndio jibu. tena akidowload Visual studio all in one ( Free Developer Tools - Visual Studio 2010 Express | Microsoft Visual Studio) ukijumlisha na SQL server2008 express ( Free Microsoft SQL Server 2008 R2 | Express Edition ) basi anakuwa na mazingira kamili kamili kwa ajili kuendelea na project yakeKama ni ushauri wangu mwanafuzi ningemwambia aachane na mambo ya oracle kwenye project. tena kama ni hapa bongo. Few support resources na articles. Unless wanataka kujifunza the hard way
Shukrani sana ndugu yangu mtazamaji, ndo nitamuelekeza afanye kama ulivyoshauri!
 
Back
Top Bottom